ANGALIA PICHA :-Tazama Muonekano wa Basi la Moro Best lilivyoharibika baada ya Kugongana uso kwa uso na Lori Julai 30,104 mkoani Dodoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, August 04, 2014

ANGALIA PICHA :-Tazama Muonekano wa Basi la Moro Best lilivyoharibika baada ya Kugongana uso kwa uso na Lori Julai 30,104 mkoani Dodoma.


Muonekano wa kuharibika vibaya kwa Basi la  Moro Best lenye na namba za usajili T 258 AHV lilipopata jali ya kugongana uso kwa uso na Lori na kuua Watu 18 katika eneo la Pandambili  Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma ,Julai 30,2014,asubuhi, Basi  liliokuwa likitoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaa.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
Like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

Lori lenye namba za usajili T 820 CKU na tela yenye namba za usajili T
390 CKT liliokuwa likiendeshwa na Dereva wake Gilbart Lemanya na Tingo
wake Mikidadi Zubery Omary  ambao wote walifariki papo hapo
linavyoonekana baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Moro Best
katika eneo la Pandambili Wilayani Kongwa  Mkoani Dodoma Julai 30,2014.


Basi la  Moro Best lenye na namba za usajili T 258 AHV lilipopata jali ya kugongana uso kwa uso na Lori na kuua Watu 18 katika eneo la Pandambili  Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma ,Basi  liliokuwa likitoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad