AJALI:-Tazama Picha Jinsi Basi la LIM SAFARI Likipata Ajali leo Agosti 13,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 13, 2014

AJALI:-Tazama Picha Jinsi Basi la LIM SAFARI Likipata Ajali leo Agosti 13,2014.

Basi aina ya YUTONG la kampuni ya LIM SAFARI limepata ajali  eneo la kwa Mndulu katika wilaya  ya Korogwe mkoani Tanga mchana wa leo Agosti 13,2014, hata hivyo ni jambo ya kumshukuru Mwenyezi Mungu abiria wote waliokuwa kwenye basi hilo walinusurika kifo lakini raia wawili wa kigeni waliokuwa pembezoni mwa barabara wamejuruhiwa kwa kupata michubuko sehemu mbalimbali za mwili.


Basi hilo lilikua likitoka jijini Dar es Salaam  kuelekea Arusha likiwa na namba za lenye usajili T 578 CQR.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad