TUZO ZA AFRIMMA 2014 :-Hii ni orodha kamili ya washindi - Lady Jay Dee na Diamond Plutnumz wakinyakuwa Tuzo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, July 27, 2014

TUZO ZA AFRIMMA 2014 :-Hii ni orodha kamili ya washindi - Lady Jay Dee na Diamond Plutnumz wakinyakuwa Tuzo.

Tuzo hizi zinaitwa African Muzik Magazine Awards ambapo za mwaka huu 2014 zimetolewa huko Eisemann center Texas ,Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo’’ Nasibu Abdul aka Diamond Platnumz’’ wa Tanzania ambae pia alikua mmoja wa wanaowania tuzo.


Aidha  Diamond ameshinda tuzo mbili moja ya Msanii bora wa Afrika Mashariki na nyingine ni wimbo bora wa kushirikiana ambao ni ‘number one rmx’ alioufanya na Davido wa Nigeria.
Nasibu Abdul aka Diamond Platnumz’’ wa Tanzania na Davido wa Nigeria kulia wakiwa na Tuzo zao…Producer bora wa mwaka ni Mtanzania Sheddy Clever aliekua anashindana Dj Oskido wa South Africa, Don Jazzy wa Nigeria, Shizz wa Nigeria, Killbeatz wa Ghana, Oskido wa South Africa, Nash Wonder wa Uganda na Ogopa wa Kenya.

Tuzo ya Mtayarishaji bora wa video imekwenda kwa Ogopa Dj’s ambao ndio waliifanya ile video ya kwanza ya ‘My number 1′ ya Diamond Platnumz.

Mwana Dada Lady Jaydee wa Tanzania ameshinda tuzo ya Msanii bora wa kike Afrika Mashariki 2014 ,aliyokua anashindania na Rema wa Uganda, Aster Aweke wa Ethiopia, Avril wa Kenya, Victoria Kimani wa Kenya na Irene Ntale wa Uganda.

Hii ni orodha kamili ya washindi wa AFRIMMA 2014.

Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana)

 Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya)

 Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria)

Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania)

 Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria)

 Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania)

 Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria)

 Best Male Central Africa 2014 – Fally Pupa (Congo)

 Best Female Central Africa 2014- Gasha ( Cameroon)

 Best Male Southern Africa 2014- Khuli Chana (South Africa)

 Best African Group 2014- P-square (Nigeria)

 Best Male Diaspora 2014- Fuse ODG (Ghana)

 Best Female Diaspora 2014- Les Nubians (Cameroon)

 Best Female Southern Africa 2014- Zahara (South Africa)

 Best Dancehall Artist 2014 – Timaya (Nigeria)

 Best Dance in a Video 2014- Iyanya (Lekwa Ukwu) (Nigeria)

 Best Gospel Artiste 2014- Bahati (Kenya)

 Best Traditional Artist 2014- Flavour (Nigeria)

 Best Newcomer 2014- Stanley Enow (Cameroon)

 Best Video Director 2014- Ogopa Dj’s (Kenya)

 Music Producer of the year 2014- Dj Oskido (South Africa)

 Best Dance Group 2014- Imagineto (Nigeria)

 Best Rap Act 2014- Sarkodie (Ghana)

 Best Collaboration 2014- Mafikizolo ft Uhuru (Khona) (South Africa)

 Song of the Year 2014- Kcee (Nigeria)
 
 Artist of the Year 2014- Davido (Nigeria)
 
 Leadership in Music Award 2014- (2face Idibia)
 
 Legendary Award 2014- (Yvonne Chaka Chaka)
 
 Transformational Leadership Award 2014- (Chief Dr. Godswill Akpabio)



Tuzo hizo pia ziliwahusisha wakali wengine kama Davido, 2Face, Fally Ipupa, Iyanya, Flavour, Wyre, Miriam Chemmoss na wengine ambao ni sehemu ya watu kutoka nchi 17 za Afrika.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad