Mashindano
ya kombe la dunia ni mkusanyiko nambari mbili katika mikusanyiko yote
ulimwenguni, pia ni mashindano yanayoangaliwa na mabilioni ya watazamaji
duniani (TV Viewers).
|
June 12,2014
mpaka Julai 13,2014,Mashindano hayo maarufu yataanza katika miji tofauti nchini
Brazil ikimwemo Sao Paulo, Rio De Janeiro, Brasilia nk.
|
Ni bahati
kubwa kwa nchi hiyo kubwa iliyopo Latin America kwamba 2016 pia mashindano
namba moja duniani (Olympic Games) yatafanyika Brazil katika mji wenye bandari
kubwa ya Rio De Janeiro.
|
Ratiba ya
Kombe la Dunia, unaweza kuikopi na kuiweka katika simu au kompyuta yako. Hata
kuprint na kuwa nayo, ili kuweza kujua ratiba za mechi ya mnichuano hiyo.
Muhimu sana.
|
No comments:
Post a Comment