MAZAGAZAGA CUP 2014:-Kakonko FC yakumbana na kipigo cha mbwa mwizi toka kwa Ngara Stars. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, June 09, 2014

MAZAGAZAGA CUP 2014:-Kakonko FC yakumbana na kipigo cha mbwa mwizi toka kwa Ngara Stars.

Wachezaji wa timu ya Ngara Stars kutoka kushoto ni Vicent Kamuhanda,Gilman Mutegoa na Adof Gisuka wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao dhidi ya timu ya Kakonko kwenye uwanja wa Nyakanazi shule ya msingi June 07,2014 kuwania kombe la Mazagazaga 2014.

Kikosi cha timu ya Ngara Stars,kutoka wilayani Ngara mkoani Kagera kilichoifumua Kakonko FC ya wilayani Kakonko mkoani Kigoma goli 4-1,katika mchezo wa kundi lao la C katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Nyakanazi June 07,2014-kwa ushindi huo Ngara Stars imefanikiwa kuingia hatua nyingine ya mashindano hayo ya Mazagazaga CUP ikifikisha point 7 kileleni.

Hiki ndicho Kikosi cha Kakonko FC kilichofungwa na Ngara Stars ina imeelezwa kuwa kupoteza mchezo huo ni kutokana na baadhi ya wachezaji wao kusafiri kimafungu fungu kutoka wilayani Kakonko ambapo kulipelekewa kufungwa goli 2-0 za mwanzo wakiwa hawana wachezaji muhimu.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad