UTALII WA NDANI:-Tazama Picha ya Milima iliyopo Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera - Tanzania na Muonekano wake. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, June 09, 2014

UTALII WA NDANI:-Tazama Picha ya Milima iliyopo Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera - Tanzania na Muonekano wake.

Wilaya ya Ngara ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera na Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 334,939.

 


Hawa ni wadudu ambao ukiwatazama ni kama utalii usiokuwa na madhara wakipatikana katika kata ya Mabawe .


Baadhi ya Kata za Wilaya ya Ngara ni Bugarama | Bukiriro | Kabanga | Kanazi | Keza | Kibimba | Kirushya | Mabawe | Muganza (Ngara) | Mugoma | Murusagamba | Ngara Mjini | Ntobeye | Nyakisasa | Nyamiyaga | Rulenge | Rusumo ambazo baadhi yake zimezungukwa na milima yenye mvuto na mabonde,mapori ya aina yake kwa utalii.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad