PICHA:-Yaliyojiri wakati wa Kusimikwa Mchungaji Amon Nzikobankunda kuwa Luludini wa Dinari ya Ngara Mjini June 04, 2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 05, 2014

PICHA:-Yaliyojiri wakati wa Kusimikwa Mchungaji Amon Nzikobankunda kuwa Luludini wa Dinari ya Ngara Mjini June 04, 2014.

Mchungaji Amon Nzikobankunda amesimikwa kuwa Luludini wa Dinari ya Ngara na Vika General wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kagera ,Mchungaji Philipo Mvunyi katika ibada iliyofanyika June 04,2014 katika Kanisa la Anglikan Ngara mjini  na kuhudhuriwa na Wageni mbalimbali kutoka wilayani Ngara mkoani Kagera na wengine kutoka Nchini Burundi.

 

Vika General wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kagera ,Mchungaji Philipo Mvunyi akiendelea na ibada ya kumsimika  Mchungaji Amon Nzikobankunda kuwa Luludini wa Dinari ya Ngara  katika ibada iliyofanyika June 04,2014 katika Kanisa la Anglikan Ngara mjini.




Baadhi ya waumini na wageni mbalimbali waliohudhuria ibada hiyo ya kusimikwa Mchungaji Amon Nzikobankunda  kuwa Luludini wa Dinari ya Ngara mjini.






Baadhi ya waumini na wageni mbalimbali waliohudhuria ibada hiyo ya kusimikwa Mchungaji Amon Nzikobankunda  kuwa Luludini wa Dinari ya Ngara mjini katika Ibada iliyofanyika katika Kanisa la Anglikan Ngara mjini.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad