Ligi kuu soka Nchini
Uingereza (EPL) itaanza Agosti 16,2014 na Leo (June 18, 2014) hii Ratiba ya
Msimu mpya wa 2014/15 imetangazwa.
|
Hapo Agosti 9,2014,Uwanjani
Wembley, kutakuwa na pambano la Kufungua Pazia Msimu kugombea Ngao ya Jamii
kati ya Man City, ambao ni Mabingwa, na Arsenal, Mabingwa wa FA CUP.
MECHI ZA DABI NA ZA UPINZANI
MKALI 2014/2015.
Agosti 16: West Ham v
Tottenham
Agosti 23: Manchester City v
Liverpool
Septemba 20: Arsenal v
Tottenham
Septemba 20: Manchester City
v Chelsea
Septemba 27: Liverpool v
Everton
Novemba 1: Manchester City v
Manchester United
Novemba 8: Liverpool v
Chelsea
Novemba 22: Arsenal v
Manchester United
Desemba 13: West Brom v Aston
Villa
Desemba 13: Manchester United
v Liverpool
Desemba 20: Newcastle v
Sunderland
Januari 31: Chelsea v
Manchester City
Februari 7: Tottenham v
Arsenal
Februari 7: Everton v
Liverpool
Februari 21: Tottenham v West
Ham
Februari 28: Liverpool v
Manchester City
Machi 3: Aston Villa v West
Brom
Machi 21: Liverpool v
Manchester United
Aprili 4: Sunderland v
Newcastle
Aprili 11: Manchester United
v Manchester City
Mei 9: Chelsea v Liverpool
Mei 16: Manchester United v
Arsenal
Opening fixtures (weekend of 16 August,2014)
Arsenal v Crystal Palace
Burnley v Chelsea
Leicester City v Everton
Liverpool v Southampton
Manchester United v Swansea
City
Newcastle United v Manchester
City
Queens Park Rangers v Hull
City
Stoke City v Aston Villa
West Bromwich Albion v
Sunderland
West Ham United v Tottenham
Hotspur
No comments:
Post a Comment