AJALI:-Watu wawili wafa papo hapo na wengine 40 kujeruhiwa kufatia Basi la New Force kupata Ajali-June 18,2014,mkoani Mbeya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, June 18, 2014

AJALI:-Watu wawili wafa papo hapo na wengine 40 kujeruhiwa kufatia Basi la New Force kupata Ajali-June 18,2014,mkoani Mbeya.

Muonekano wa Basi la New Force   baada ya kupata Ajali ambapo Basi hilo lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda mkoani Mbeya leo (June 18, 2014) limepata Ajali eneo la Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili Papo hapo na kujeruhi wengine Arobaini(40) ambao wamekimbizwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.


Watu waliofariki katika ajali hiyo walikuwa ni watembea kwa miguu huku chanzo cha ajali hiyo kikielezwa kuwa Basi hilo ni kupoteza mwelekeo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad