KOMBE LA DUNIA 2014:- Uholanzi yawaadhibu Mabingwa watetezi Hispania bao 5-1. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, June 14, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014:- Uholanzi yawaadhibu Mabingwa watetezi Hispania bao 5-1.

Uholanzi wameikabili Hispania kupita Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2010 kwa kuwafunga magoli 5-1 Mabingwa hao watetezi wa Dunia usiku wa June 13, 2014 huko Salvador Nchini Brazil katika Mechi ya Kwanza ya Kundi B ikiwa ni kama marudiano baada ya Nchi hizi kukutana Fainali ya Kombe la Dunia huko Afrika Kusini Mwaka 2010 na Hispania kushinda 1-0.

Wachezaji Robben & Van Persie walikuwa Nyota katika mchezo huo kwa kufunga bao mbili kila mmoja  kwa van Persie (44', 72'), Robben (53', 80'),na   de Vrij (64') huku la Hispania goli lao likifungwa na Alonso (27' pen).

As It Stands Tables

Group A

CountryPWDLGDPts
Brazil flagBRZ110023
Mexico flagMEX110013
Cameroon flagCMR1001-10
Croatia flagCRO1001-20

Group B

CountryPWDLGDPts
Netherlands flagNED110043
Chile flagCHI000000
Australia flagAUS000000
Spain flagSPA1001-40

Group C

CountryPWDLGDPts
Colombia flagCOL000000
Greece flagGRE000000
Ivory Coast flagCIV000000
Japan flagJPN000000

Group D

CountryPWDLGDPts
Uruguay flagURU000000
Costa Rica flagCRC000000
England flagENG000000
Italy flagITA000000

Group E

CountryPWDLGDPts
Switzerland flagSWI000000
Ecuador flagECU000000
France flagFRA000000
Honduras flagHON000000

Group F

CountryPWDLGDPts
Argentina flagARG000000
Bos-Herce flagBIH000000
Iran flagIRN000000
Nigeria flagNGA000000

Group G

CountryPWDLGDPts
Germany flagGER000000
Portugal flagPOR000000
Ghana flagGHA000000
USA flagUSA000000

Group H

CountryPWDLGDPts
Belgium flagBEL000000
Algeria flagALG000000
Russia flagRUS000000
South Korea flagKOR000000

JUMAMOSI, JUNI 14, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
REFA
1900
Colombia v Greece
C
Estadio Mineirão
Mark Geiger [USA]
2200
Uruguay v Costa Rica
D
Estadio Castelão
Felix Brych [Germany]
0100
England v Italy
D
Arena Amazonia
Bjorn Kuipers [Holland]
0400
Ivory Coast v Japan
C
Arena Pernambuco
Enrique Osses [Chile]

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad