KOMBE LA DUNIA 2014:-Tazama Picha Jinsi Uholanzi ilivyowanyanyasa Mabingwa Watetezi wa Kombe la Dunia Hispania 5-1 kwa van Persie na Robben wakimtungua Iker Casillas bao 2 za Kusumbuka-June 13,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, June 14, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014:-Tazama Picha Jinsi Uholanzi ilivyowanyanyasa Mabingwa Watetezi wa Kombe la Dunia Hispania 5-1 kwa van Persie na Robben wakimtungua Iker Casillas bao 2 za Kusumbuka-June 13,2014.

Robin Van Persie akipambana na kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao mbili katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B ya Fainali za Kombe la Dunia June 13, 2014,na katika mchezo huo Man of the match aliibuka Robin van Persie.


Robin van Persie akifunga bao zuri la kichwa cha umbali wa mita 30 ambalo lilikuwa la kusawazisha kwa Uholanzi dhidi ya Hispania.


Robin Van Persie akimlamba chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao la nne katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B ya Fainali za Kombe la Dunia June 13, 2014,na katika mchezo huo Man of the match aliibuka Robin van Persie.





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad