KOMBE LA DUNIA 2014:- Luis Suarez aiongoza 2-1 Uruguay kuwaondosha Uingereza huku Ivory Coast ikilala 1-2 kwa Colombia-june 19,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, June 20, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014:- Luis Suarez aiongoza 2-1 Uruguay kuwaondosha Uingereza huku Ivory Coast ikilala 1-2 kwa Colombia-june 19,2014.

Timu ya Taifa ya Colombia imejiimarisha  kufuzu kucheza Raundi ya Pili ya Mtoano ya Timu 16 ya Fainali za Kombe la Dunia2014, baada Leo (June 19, 2014) kuifunga Ivory Coast Bao 2-1 kwenye Mechi ya Kundi C iliyochezwa huko Estadio Nacional Jijini Brasilia Nchini Brazil.


Huu ni ushindi wa Pili kwa Colombia na uliletwa kwa Bao za James Rodriguez na Juan Quintero na Ivory Coast kufunga la kwao kupitia Gervinho.

Ivory Coast sasa inakuwa imejiweka mguu nje, ndani kusonga raundi hiyo ya 16 bora japo inabaki nafasi ya pili kwa pointi zake tatu baada ya mechi mbili,  kwa kuifunga Japan 2-1 kwenye Mechi ya Kwanza, wakati Colombia inapanda kileleni na kujihakikishia kutinga 16 Bora moja kwa moja ikiwa na Point 6.

Ivory Coast sasa watalazimika kuifunga Ugiriki katika mchezo wake wa mwisho wa kundi hilo ili kusonga mbele.
Didier Drogba akimuacha chini beki wa Colombia katika mchezo wa kund C la Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil ambapo Ivory Coast ililala 2-1.
Gervinho akiwatoka mabeki wa Colombia kabla ya kuifungia Ivory Coast bao la kusawazisha walipofungwa 2-1 na Colombia.
MSIMAMO:

KUNDI C
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Colombia
2
2
0
0
5
1
4
6
Ivory Coast
2
1
0
1
3
3
0
3
Japan
1
0
0
1
1
2
-1
0
Greece
1
0
0
1
0
3
-3
0
Japan na Greece zitacheza Mechi zao za Pili za Kundi C huku kila moja ikisaka ushindi wa kwanza baada ya kufungwa kwenye Mechi zao za kwanza ambapo Mechi za mwisho za Kundi C ni hapo Jumanne June 24,2014 kwa Greece kucheza na Ivory Coast na Colombia kukipiga na Japan.
IJUMAA, JUNI 20, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Italy v Costa Rica
D
Arena Pernambuco
2200
Switzerland v France
E
Arena Fonte Nova
0100
Honduras v Ecuador
E
Arena da Baixada
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina v Iran
F
Estadio Mineirão
2200
Germany v Ghana
G
Estadio Castelão
0100
Nigeria v Bosnia-Herzegovina
F
Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Russia
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
Suarez akishangilia baada ya kuifungia Uruguay bao la pili, huku kipa Joe Hart akisikitika

Nao timu ya Taifa ya Uingereza  imepoteza mechi ya pili mfululizo ya Kundi D Kombe la Dunia 2014, baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Uruguay mjini Sao Paulo, Brazil usiku wa June 19, 2014.

Mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez aliyefunga mabao yote mawili,dakika ya 39, baada ya  kumalizia kazi nzuri ya Cavani.

Uingereza walisawazisha dakika ya 75, Wayne Rooney akimalizia vizuri krosi ya Glen Johnsont. Bao hilo liliwapa tamaa ya mabao zaidi Uingereza, na kujikuta wanamsahau Suarez, ambaye alitumia mwanya huo kuwafunga bao la pili dakika ya 85.

As It Stands Tables World Cup 2014.

Group A

CountryPWDLGDPts
Brazil flagBRZ211024
Mexico flagMEX211014
Croatia flagCRO210123
Cameroon flagCMR2002-50

Group B

CountryPWDLGDPts
Netherlands flagNED220056
Chile flagCHI220046
Australia flagAUS2002-30
Spain flagSPA2002-60

Group C

CountryPWDLGDPts
Colombia flagCOL220046
Ivory Coast flagCIV210103
Japan flagJPN1001-10
Greece flagGRE1001-30

Group D

CountryPWDLGDPts
Costa Rica flagCRC110023
Italy flagITA110013
Uruguay flagURU2101-13
England flagENG2002-20

Group E

CountryPWDLGDPts
France flagFRA110033
Switzerland flagSWI110013
Ecuador flagECU1001-10
Honduras flagHON1001-30

Group F

CountryPWDLGDPts
Argentina flagARG110013
Iran flagIRN101001
Nigeria flagNGA101001
Bos-Herce flagBIH1001-10

Group G

CountryPWDLGDPts
Germany flagGER110043
USA flagUSA110013
Ghana flagGHA1001-10
Portugal flagPOR1001-40

Group H

CountryPWDLGDPts
Belgium flagBEL110013
Russia flagRUS101001
South Korea flagKOR101001
Algeria flagALG1001-10




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad