|
Ukungu huu
mkubwa unatokana na hali ya hewa na Msitu huo wa Sao Hill una miti ya kupandwa
kwa ajili ya kutengenezea karatasi na matumizi ya mbao.
|
|
Ndani ya
msitu huo wenye Kilometa zaidi ya 10, Magari hupita bila wasiwasi kwa sababu
ni eneo lililo salama na wakati mwingine Unaweza ukasema mbele hapapitiki
lakini ni hali halisi ya ukungu mkubwa.
|
|
Hata
watembea kwa miguu wanapita katika msitu huo wa Sao Hill uliopo mkoani Iringa
nchini Tanzania.
|
|
Hili ni eneo
la wazi kiasi katika msitu huo wenye Kilometa zaidi ya 10, Magari hupita bila
wasiwasi kwa sababu ni eneo lililo salama.
|





No comments:
Post a Comment