Tazama Ajali wilayani Kahama mkoani Shinyanga maeneo ya BPP,Gari laacha Njia na Kupinduka. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 10, 2014

Tazama Ajali wilayani Kahama mkoani Shinyanga maeneo ya BPP,Gari laacha Njia na Kupinduka.

Ajali imehusisha gari kubwa aina ya fuso lenye namba za usajiri T593 CPK na gari dogo aina ya hilux namba T305 AFR...Katika Ajari hiyo  inasemekana haina mtu aliepoteza uhai ila majeruhi baadhi wamewahishwa hospitali.




Ajali  imetokera wilayani Kahama mkoani Shinyanga maeneo ya BPP kituo cha mafuta barabara ya Lami mpya kona inayo elekea azania bank.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad