Taswira ya Basi la Taqwa lililoua na Kujeruhi baada ya Kugongana na Lori mkoani Morogoro. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 03, 2014

Taswira ya Basi la Taqwa lililoua na Kujeruhi baada ya Kugongana na Lori mkoani Morogoro.

Ajali hiyo ya basi ilitokea baada ya kugongana na lori huko Mikumi mkoani Morogoro…na Basi hilo la Taqwa kwa mujibu wa mashuhuda wanasema lilikuwa linatoka Zimbabwe kuja Dar es Salaam na kwamba basi hilo lilijaribu ku-over take hilo lori lililokuwa limebeba mbao.

Ukitazama  vizuri utaona Mbao zimeingia kwenye basi hilo kwa mbele…na inaonekana  majeruhi wengi walihitaji msaada kuokolewa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad