Taswira ya Ajali ya Pikipiki katika makutano ya kuingia Benki ya NMB –Tawi la Ngara na mtu mmoja kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika Hospitali ya Murugwanza wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 04, 2014

Taswira ya Ajali ya Pikipiki katika makutano ya kuingia Benki ya NMB –Tawi la Ngara na mtu mmoja kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika Hospitali ya Murugwanza wilayani Ngara mkoani Kagera.

Ajali hiyo imetokea jana(Januari 03,2014)katika makutano ya kuingia Benki ya NMB –Tawi la Ngara mjini Ngara na mtu mmoja kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika Hospitali ya Murugwanza wilayani Ngara mkoani Ngara.

Muonekano wa pikipiki zilivyogongana Jana(Januari 03,2014)katika makutano ya kuingia Benki ya NMB –Tawi la Ngara mjini Ngara ambapo chanzo cheke kilisababishwa na Dereva wa pikipiki yenye kava la kaki kuingia katika kona hiyo bila kutazama mbele yake kuna nini kinachokuja ndipo zikavaana kama inavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad