Kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Zitto Kabwe dhidi ya CHADEMA hukumu yake itatoka kesho saa nane. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, January 06, 2014

Kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Zitto Kabwe dhidi ya CHADEMA hukumu yake itatoka kesho saa nane.

Wakili wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Zitto Kabwe katika kesi yake ya Kupinga kujadiliwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema, Albert Msendo (katikati) akisindikizwa na wanachama wa Chadema walio wa tiifu kwa Zitto Kabwe  wakati akitoka Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo hukumu ya kesi yao itatoka kesho(Janauari 07,2014)  saa nane.

Doria ya Polisi ilikamilika ambapo hukumu hiyo ya pingamizi la Zitto Kabwe limeairishwa katika Mahakama Kuu jijini Dar mpaka kesho (Januari 07,2014) saa nane mchana.
Wanachama wa Chadema wabao Muunga Mkono Zitto Kabwe wakiwa na mabango yao mbali na Mahakama.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad