Arsenal wamewabwaga Mahasimu wao wa Jijini London, Tottenham, Bao 2-0 katika Mechi ya Raundi ya Tatu ya FA CUP - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 04, 2014

Arsenal wamewabwaga Mahasimu wao wa Jijini London, Tottenham, Bao 2-0 katika Mechi ya Raundi ya Tatu ya FA CUP

Wakichezwa kwao Uwanja wa Emirates, Usiku huu Arsenal wamewabwaga Mahasimu wao wa Jijini London, Tottenham, Bao 2-0 katika Mechi ya Raundi ya Tatu ya FA CUP na kuwatupa nje.

Bao za Arsenal zilifungwa na Santi Cazorla na Tomas Rosicky kwenye Mechi ambayo walimaliza Mtu 10 kwa Dakika 10 za mwisho baada ya Theo Walcott kuumia na Arsenal kushindwa kuingiza Mchezaji kwani walikuwa wameshabadili Wachezaji watatu.
RATIBA
FA CUP: RAUNDI ya TATU
Jumapili Januari 5,2014.

1500 Nottingham Forest v West Ham
1700 Sunderland v Carlisle
1715 Derby v Chelsea
1800 Liverpool v Oldham
1800 Port Vale v Plymouth
1930 Manchester United v Swansea

THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:

-RAUNDI YA 3: Jumamosi Januari 4,2014. [KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND HUANZA]
-RAUNDI YA 4: Jumamosi Januari 25,2014.
-RAUNDI YA 5: Jumamosi Februari 15,2014.
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8,2014.
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13,2014.
-FAINALI: Jumamosi Mei 17,2014.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad