Watanzania waungana na mataifa yote duniani kusherehekea siku 16 kutokomeza ukatili wa kijinsia ambapo imeelezwa mahakama haitoa ushirikiano stahiki kwa kesi zikifikishwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, November 29, 2013

Watanzania waungana na mataifa yote duniani kusherehekea siku 16 kutokomeza ukatili wa kijinsia ambapo imeelezwa mahakama haitoa ushirikiano stahiki kwa kesi zikifikishwa.

Mhe Said Mwema ambaye alikuwa mgeni rasmi kitaifa jijini Dar Es Salaamu aliwataka watanzania kuzingatia malezi bora katika ngazi ya familia ili kuliepusha taifa katika uongezaji wa jera kwa ongezeko la uhalifu.. Watanzania kadhalika wametakwa kujenga mazingira rafiki kwa haki na usawa kwa watoto na wanawake japo kama Dawati la jinsi kutoka jeshi la polisi imethibitisha mahakama haitoa ushirikiano stahiki kwa kesi zikifikishwa ili haki ipatikane.Picha Na:-Wanawake na Hatamu.

Procession through town. Sharon Cromer, the Acting Deputy Chief of Mission for the U.S. Embassy in Tanzania, (center) with the Inspector Genera; of the Police Saidi Mweme ( right) and the Ambassador of Ireland Fionnuala Gilsenan (left) and UNFPA Deputy Representative Mariam Khan ( far left).


Procession through town. Sharon Cromer, the Acting Deputy Chief of Mission for the U.S. Embassy in Tanzania, (center) with the Inspector General of the Police Saidi Mweme ( right) and the Ambassador of Ireland Fionnuala Gilsenan (left) and UNFPA Deputy Representative Mariam Khan ( far left).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad