Shirikisho la kandanda barani Afrika
CAF limetangaza majina ya wachezaji wa kiafrika watakaowania tuzo ya mchezaji
bora wa Afrika kwa mwaka 2013 na Mchezaji bora wa Afrika anayechezea vilabu vya
ndani ya Afrika mwaka 2013.
Katika majina hayo yapo majina
mawili ya wachezaji wanaotoka Afrika Mashariki ambao ni Victor Wanyama raia wa
Kenya anachezea Southampton FC ya England ambaye ni miongoni mwa wachezaji 25
watakaowania tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika, huku Mbwana Samatta raia wa
Tanzania anayechezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yeye
ameteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji bora wa Afrika anayechezea timu za Afrika.
Wachezaji 25 watawania tuzo ya
mchezaji bora wa Afrika na 21 Mchezaji bora wa Afrika anachezea timu za ndani
ya Afrika.
Washindi wa tuzo hizo wanatarajiwa
kutangazwa Januari 9, mwaka 2014 mjini Lagos nchini Nigeria.
Orodha kamili ya wachezaji
waliotangazwa na CAF na timu wanazotoka hii hapa chini.
Mchezaji
wa bora wa CAF Afrika.
1. Ahmed Musa - Nigeria - CSKA
Moscow
2. Asamoah Gyan - Ghana - Al Ain
3.Dame N'Doye - Senegal - Locomotiv
Moscow
4. Didier Drogba - Cote d'Ivoire -
Galatasaray
5. Emmanuel Emenike - Nigeria -
Fenerbahce
6. Islam Slimani - Algeria -
Sporting Lisbon
7. John Mikel Obi - Nigeria -
Chelsea
8. Jonathan Pitroipa - Burkina Faso
- Stade Rennais
9. Kévin Constant - Guinea - AC
Milan
10. Kwadwo Asamoah - Ghana -
Juventus
11. Luís Carlos Almada Soares
(platini) - Cape Verde - AC Omonia
12. Mehdi Benattia - Morocco - AS
Roma
![]() |
|
Victor Wanyama - Kenya
- Southampton FC.
|
13. Mohamed Aboutrika - Egypt - Al
Ahly
14. Mohamed Salah - Egypt - Basel FC
15. Nicolas Nkoulou - Cameroon -
Marseille
16. Pierre-Emerick Aubameyang -
Gabon - Borussia Dortmund
17. Ryan Isaac Mendes da Graça -
Cape Verde - Lille
18. Saladin Said - Ethiopia - Wadi
Degla FC
19. Seydou Keita - Mali - Dalian
Aerbin F.C
20. Sofiane Feghouli - Algeria -
Valencia
21. Sunday Mba - Nigeria - Warri
Wolves
22. Victor Wanyama - Kenya -
Southampton FC
23. Vincent Enyeama - Nigeria -
Lille
24. Yao Kouassi Gervais 'Gervinho' -
Cote d'Ivoire - AS Roma
25. Yaya Toure - Cote d'Ivoire -
Manchester City
Mchezaji
bora Afrika anacheza vilabu ndani ya Afrika.
1. Adane Girma - Ethiopia - St
George
2.Ahmed Fathi - Egypt - Al Ahly
3. Alexis Yougouda Kada - Cameroon -
Coton Sport
4. Ali Machani - Tunisia - CAB
5. Bapidi Fils Jean Jules - Cameroon
- Coton Sport
6. Daine Marcelle-Klate - South
Africa - Orlando Pirates
7. Fakhreddine Ben Youssef - Tunisia
- CSS
![]() |
|
Mbwana Samatta - Tanzania
- TP Mazembe.
|
8. Getaneh Kebede - Ethiopia -
Bidvest Wits
9. Idrissa Kouyate - Cote d'Ivoire -
CS Sfaxien
10. Iheb Msakni - Tunisia - Esperance
11. Luyanda Lennox Bacela - South
Africa - Orlando Pirates
12. Mbwana Samatta - Tanzania - TP
Mazembe
13. Moez Ben Cherifia - Tunisia -
EST
14. Mohamed Aboutrika - Egypt - Ahly
15. Rainford Kalaba - Zambia - TP
Mazembe
16. Senzo Meyiwa - South Africa -
Orlando Pirates
17. Soumbeila Diakite - Mali - Stade
Malien
18. Sunday Mba - Nigeria - Warri
Wolves
19. Tresor Mputu - DR Congo - TP
Mazembe
20. Waleed Soliman - Egypt - Al Ahly
21. Yannick N'djeng - Cameroon - EST








No comments:
Post a Comment