![]() |
Selemani Msindi 'Afande Sele'.
|
Mwanamuziki mkongwe wa Hip hop na Bongo Fleva kutoka mkoani Morogoro,
ambaye pia ni mfalme wa Rymes, Selemani Msindi 'Afande Sele' muda mfupi
uliopita amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada
ya kukabidhiwa kadi ya chama hicho na Powell Mfinanga wakati wa mkutano mkubwa
uliofanyika katika kata ya Mafiga na Misufini mkoani Morogoro!
Mwanamuziki
huyo toka zamani alikuwa na nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Morogoro
kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 yamezekana ndiyo kaanza safari rasmi leo.



.jpg)



No comments:
Post a Comment