Tazama Ajali ya gari aina ya landcruiser mali ya Shirika la TWESA lilivyogongana na Kijana mwendesha Pikipiki katika eneo la Kanisa la Mt Francisco Asiz mjini Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, November 22, 2013

Tazama Ajali ya gari aina ya landcruiser mali ya Shirika la TWESA lilivyogongana na Kijana mwendesha Pikipiki katika eneo la Kanisa la Mt Francisco Asiz mjini Ngara.

Kijana mmoja mkazi wa mjini ngara mkoani Kagera amelazwa katika hospitali ya Nyamiaga baada ya kupata ajali ya pikipiki kwa kugongana na gari eneo la uwanja wa kokoto mjini Ngara na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake leo jioni(Novemba 22,2013).


Ajali hiyo imelihusisha gari aina ya landcruiser  lenye namba za usajili T.494 AKJ mali ya shirika la Twesa la mjini Ngara na kijana huyo alikuwa akiendesha pikipiki aina ya SUNLG yenye namba za usajili T.248 CFX  akitokea junction kwenda stand mjini Ngara.


Jeshi la Polisi wilayani Ngara mkoani Kagera limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kwamba dreva wa gari anashikiliwa na jeshi hilo kwa upelelezi Zaidi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad