- Arfi ambaye pia ni mbunge wa Mpanda mjini (CHADEMA) amefikia uamuzi huo leo baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuwavua uongozi Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo.- Nafasi ya Zitto amepewa mchungaji Peter Msigwa. Soma barua yake ya kujiuzulu hapa => http://bit.ly/1jssIk7
No comments:
Post a Comment