Taswira ya Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha leo wilayani Kibondo mkoani Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, November 14, 2013

Taswira ya Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha leo wilayani Kibondo mkoani Kigoma.

Ni muonekano wa barafu uliosababishwa na Mvua kubwa ya Mawe iliyonyesha leo(Novemba 14,2013) wilayani Kibondo mkoani Kigoma ambapo mpaka sasa hakujaripotiwa kama imesababisha madhara yeyote kwa wakazi wa wilaya hiyo.Picha na Mdau wa Blog ya Mwana wa Makonda kutoka Kibondo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad