Ile hukumu
ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'
imewarejesha jela maisha baada ya hoja za serikali za kukazia hukumu kuzidi
zile za upande wa utetezi.
Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha
maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa
Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar es Salaam ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara
kwa mara lakini wakagonga mwamba.
Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho
kusikilizwa.






No comments:
Post a Comment