![]() |
|
Nusu ya
Wapambe wanaume na wanawake 151 wakisimama kupiga picha ya pamoja wakati wa
harusi ya Nisansala and Nalin iliyovunja rekodi ya Guinness huko Sri Lanka.
|
![]() |
|
Ceremony for
Sri Lankan couple Nisansala and Nalin as they break the Guinness record for a
wedding with the most bridesmaid.
|
![]() |
|
Mtoto wa
kiume moja wapo ya watoto 20 walowashindikiza Nisansala and Nalin walipovunja
rekodi ya Guinness huko Negombo Novemba 8, 2013.
|
![]() |
|
Bwana na
Bibi harusi Nisansala na Nalin wa Sri Lanka wanatabasamu wakati wa sherehe ya
harusi yao huko Negombo Novemba 8, 2013.
|
![]() |
|
Sri Lankan
couple Nisansala and Nalin pour water into small pots during their wedding
ceremon.
|












No comments:
Post a Comment