![]() |
| Ronaldo: I do my talking on the pitch. |
Cristiano
Ronaldo leo(Novemba 09,2013) amepata Hetitriki yake ya 23 kwa Real Madrid wakati Klabu yake hiyoilipoitwanga
Real Sociedad Bao 5-1 kwenye Mechi ya La Liga.
Ronaldo ndie
aliefunga Bao la kwanza kabla kumlisha Karim Benzema kufunga Bao la Pili na kufuatia
Penati aliyofunga Ronaldo Bao la 3 kwa Real.
MAGOLI.
Real
Madrid 5
-Ronaldo
Dakika ya 12, 26 (Penati), & 76
-Benzema 18
-Khedira 36
Real
Sociedad 1
-Griezmann
61
Gareth Bale
akamtengenezea Sami Khedira kupiga Bao la 4 na Real Sociedad wakapata Bao lao
moja Mfungaji akiwa Antoine Griezmann.
Ronaldo
alifunga Bao lake la 3 kwenye Mechi hii na la 5 kwa Real kwa frikiki safi.
Ushindi huu
umewafanya Real, walio Nafasi ya 3 na wakiwa wamecheza Mechi moja zaidi,
kufikisha Pointi 31 na mbele yao wapo Atletico Madrid wenye Pointi 33 na
Barcelona Pointi 34.
LA LIGA:-RATIBA/MATOKEO:
[Saa za
Bongo]
Ijumaa
Novemba 8
Granada CF 3
Malaga CF 1
Osasuna 0
Almeria 1
Jumamosi
Novemba 9
Real Madrid
5 CF Real Sociedad 1
2000 Getafe
v Elche
2200
Athletic de Bilbao v Levante
0000 Celta
de Vigo v Rayo Vallecano
Jumapili
Novemba 10
1400 RCD
Espanyol v Sevilla FC
1900
Valencia v Real Valladolid
2100
Villarreal v Atletico de Madrid
2300 Real
Betis v FC Barcelona






No comments:
Post a Comment