![]() |
|
Umati mkubwa wa Wafuasi ,Wapenzi na Wanachama wa CHADEMA, Waliojitokeza kumsikiliza Lwakatare leo (Juni 19,2013) katika Mkutano wake wa
hadhara uliofanyika katika uwanja wa Uhuru mjini Bukoba.
|
Aidha Kumbuka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es
Salaam ilikubali kumwachia Mkurugenzi wa
Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Wilfred Lwakatare kwa dhamana ya Shilingi
10Milioni l(Juni 11,2013).
Wilfred Lwakatare anakabiliwa na kesi ya kujaribu kumwekea sumu
Dennis Msaki.







No comments:
Post a Comment