![]() |
|
Moto ukiwaka
katikati ya barabara wakati wa vurugu zilizotokea katika viwanja vya
SOWETO mjini Arusha.
|
Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.
Ni video ya
dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.
Kwa Mujibu
wa Mkuu
wa Operesheni wa Polisi, Kamishna Paul Chagonja amesema watu watatu wamekamatwa wakihusishwa na tukio la
kulipuliwa kwa bomu mkoani Arusha.
Amesema
watuhumiwa hao wanahojiwa na polisi na watafikishwa mahakamani muda wowote
ushahidi wa kutosha utakapopatikana au kuachiwa huru wakigundulika
kutokuhusika.






No comments:
Post a Comment