![]() |
Msanii
Albert Kenneth Mangwair enzi za uhai wake.
|
-Msanii M2
the P anaendelea vizuri, leo ameweza kuongea na ametolewa ICU kupelekwa wodini.
-Mwili wa
Albert Kenneth Mangwair unatarajiwa kuwasili jijini Dar Jumamosi Juni 1, 2013
na kuhifadhiwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
-Ngwair
anatarajiwa kuagwa siku ya Jumapili katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini
Dar.
-Msanii
Bushoke alaani watu wanaotoa taarifa zisizo sahii kuhusu sababu za kifo cha
Ngwair.
No comments:
Post a Comment