![]() |
Ukarabati
huo Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD umeanza toka (April 12,2013) na unatarajiwa kukamilika (Juni
26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.
|
![]() |
Ukarabati
huo Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD umeanza toka (April 12,2013) na unatarajiwa kukamilika (Juni
26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.
|
![]() |
Hivi ndivyo Mitalo ya kupitisha Maji ikionekana katika hatua ya awali ya Ukarabati
huo wa Stand ya Mabasi Mjini Ngara.
|
Mwana wa makonda,
ReplyDeleteHawa ni anakonda,
Wamezao vilivyo pinda,
Kisha kuvinya vinapovunda,
Weka mjadala kwenye radio,
Kisha nipatie upeo,
Nifike kuwapa vyao!