Tazama Picha 15 za Ukarabati wa Stand ya Mabasi Mjini Ngara unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, May 28, 2013

Tazama Picha 15 za Ukarabati wa Stand ya Mabasi Mjini Ngara unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD.


Ukarabati huo Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD umeanza toka (April  12,2013) na unatarajiwa kukamilika (Juni 26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.


Ukarabati huo Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD umeanza toka (April  12,2013) na unatarajiwa kukamilika (Juni 26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.

Mdau Daudi naye hakuwa nyuma kufatilia Ukarabati huo wa Stand Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD umeanza toka (April  12,2013) na unatarajiwa kukamilika (Juni 26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.

Wadau wa blog ya Mwana wa Makonda(Juma na Wenzake) wakitazama jinsi Ukarabati huo wa Stand ya Mabasi mjini Ngara Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD  unavyoendelea  ukitarajiwa kukamilika (Juni 26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.

Hivi ndivyo Mitalo ya kupitisha Maji ikionekana katika hatua ya awali ya Ukarabati huo wa Stand ya Mabasi Mjini Ngara.

Vifaa vya kazi vikiwa Vimepaki vikisubiri kuanza kazi ya Ukarabati wa Stand ya Mabasi mjini Ngara ,Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD umeanza toka (April  12,2013) na unatarajiwa kukamilika (Juni 26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.


1 comment:

  1. Mwana wa makonda,
    Hawa ni anakonda,
    Wamezao vilivyo pinda,
    Kisha kuvinya vinapovunda,
    Weka mjadala kwenye radio,
    Kisha nipatie upeo,
    Nifike kuwapa vyao!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad