![]() |
|
Bayern
Munich took a massive step towards the Champions League final with an
incredible 4-0 thrashing of Barcelona in
the first leg of their last four clash at the Allianz Arena on Tuesday.
|
![]() |
|
Dk 90 Bayern Munich
4 - 0 Barcelona.
Thomas Muller dk 25' Mario Gomez dk 49' Arjen Robben dk 73' Thomas Muller dk 82' |
![]() |
|
MARUDIANO
Jumanne
Aprili 30
Real
Madrid v Borussia Dortmund
Jumatano
Mei 1
Barcelona
v Bayern Munich
FAINALI
25
Mei 2013
Uwanja wa WEMBLEY, London.
|
Aidha Jumatano
(April 24,2013) Usiku ndani ya Uwanja wao Signal Iduna
Park, Borussia Dortmund wanaikaribisha Real Madrid kwenye Mechi nyingine ya kwanza ya Nusu Fainali ya UEFA Champions League.
![]() |
|
Borussia Dortmund
v/s
Real Madrid
|
Borussia Dortmund na Real Madrid zimeshakutana mara mbili
Msimu huu kwenye UEFA Champions League msimu huu ambapo walipokuwa Kundi moja na Borussia
Dortmund, ikicheza Nyumbani, ilishinda 2-1 na kutoka sare 2-2 huko Santiago
Bernabeu.
Kama walivyo Dortmund kwa kupoteza Ubingwa wao wa Nyumbani, Madrid
nao wako hatua za mwisho kupokonywa Taji lao na Mahasimu wao wakubwa FC
Barcelona na UEFA Champions League pamoja na Copa del Rey, ndio Mataji pekee
wanayoweza kutwaa Msimu huu.
Wakati Dortmund wana Kikosi chao kamili cha kuchagua Timu,
Real Madrid watamkosa Fulbeki wao Alvaro Arbeloa ambae yuko Kifungoni hivyo watalazimika kumchezesha Sergio Ramos
kama Beki wa kulia na Masentahafu kuwa Pepe na Raphael Varane huku Fulbeki wa
kushoto kucheza Coentrao.









No comments:
Post a Comment