Tazama Video ya jinsi gari alilopata nalo ajali Sharo Milionea alilokuwa akiendesha kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, November 29, 2012

Tazama Video ya jinsi gari alilopata nalo ajali Sharo Milionea alilokuwa akiendesha kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga.


Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza  mkoa wa Tanga.



Hili gari ndilo alilopata nalo ajali Sharo Milionea, mmiliki wa hili gari sio Sharo Milionea, ni la rafiki yake ambae ndio alibaki na Opa ya Sharo.
 R.I.P -
Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad