![]() |
Abdulrahman
Kinana
Katibu
Mkuu wa CCM, Taifa
|
Katibu mkuu
wa Chama Cha Mapinduzi -CCM Bw Abdulrahamani Kinana amesema kuanzia sasa ni
marufuku viongozi wa ngazi zote wa Chama hicho kujiita waheshimiwa kwani
utaratibu huo licha ya kujenga mazingira ya kuwepo kwa tabaka la wanaostahili
Kuheshimiwa na wasiostahili unavunja misingi ya chama hicho inayosimamia usawa
wa binadamu.
No comments:
Post a Comment