![]() |
Star La Liga
trio Lionel Messi, Cristiano Ronaldo and Andres Iniesta are the finalists for
the 2012 FIFA Ballon d'Or, with Messi in search of his fourth straight World
Player of the Year honor.
|
Wagombea
wa Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani kwa Mwaka 2012, FIFA Ballon d’Or, wametangazwa
leo na FIFA huko Anhembi Convention Center Mjini Sao Paulo, Brazil katika
Mkutano uliohudhuriwa na Viongozi wa FIFA, akiwemo Rais wao, Sepp Blatter na
Katibu Mkuu Jerome Valcke na pia Mchezaji Nguli wa Brazil, Ronaldo, na
Wachezaji watatu waliotajwa kugombea Tuzo hiyo ni Cristiano RONALDO, Portugal,
Andres INIESTA, Spain na Lionel MESSI, Argentina.
Kwa
upande wa Kinamama, Wagombea ni MARTA, Brazil, Alex MORGAN, USA na Abby
WAMBACH, USA.
Sambamba
na hao, pia zilitajwa Listi za Wagombea Tuzo nyingine ambao ni:
KOCHA
BORA kwa Wanaume:
![]() |
MOURINHO |
-Vicente
DEL BOSQUE, Spain (Spain)
-Pep
GUARDIOLA, Spain (FC Barcelona)
-Jose
MOURINHO, Portugal (Real Madrid)
KOCHA
Bora kwa Wanawake:
-Bruno
BINI, France (France)
-Norio
SASAKI, Japan (Japan)
-Pia
SUNDHAGE, Sweden (USA)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iYuGrDdLxuQ/ULfcm6cL9oI/AAAAAAAALKw/B-kjjiYZ5vM/s320/234696hp2.jpg)
Pamoja
na hao pia yalitangazwa Majina ya Wagombea wa Goli Bora, wanaowania Tuzo ya
FIFA Puskás ambao ni:
-
FALCAO (América de Cali-Atletico Madrid, 19 May 2012)
-NEYMAR
(Santos-Internacional, 7 March 2012)
-Miroslav
STOCH (Fenerbahçe-Gençlerbirliği, 3 March 2012).
Pia,
yalitangazwa Majina ya Fowadi 15 ambao wanaungana na Makipa watano, Mabeki 20,
na Viungo 15, waliotangazwa kabla, kufanya jumla ya Wachezaji 55 watakaowania
nafasi 11 za kuwemo kwenye Listi ya Wachezaji 11 watakauonda Timu Bora Duniani,
FIFA/FIFPro World XI 2012, yenye Kipa mmoja, Mabeki wanne, Viungo watatu na
Mafowadi watatu.
LISTI
HIYO ya Wachezaji 55 na WALIOTEULIWA
HADI SASA:
MAKIPA
5 WALIOTEULIWA:
-Gianluigi
Buffon (Italy, Juventus)
-Iker
Casillas (Spain, Real Madrid)
-Petr
Cech (Czech Republic, Chelsea)
-Joe
Hart (England, Manchester City)
-Manuel
Neuer (Germany, Bayern Munich).
MABEKI
20:
-Jordi
Alba (Spain, Barcelona)
-Gareth
Bale (Wales, Tottenham Hotspur)
-Giorgio
Chiellini (Italy, Juventus)
-Ashley
Cole (England, Chelsea)-
-Dani
Alves (Brazil, Barcelona)
-David
Luiz (Brazil, Chelsea)
-Patrice
Evra (France, Manchester United)
-Rio
Ferdinand (England, Manchester United)
-Mats
Hummels (Germany, Borussia Dortmund)
-Branislav
Ivanovic (Serbia, Chelsea)
-Vincent
Kompany (Belgium, Manchester City)
-Philipp
Lahm (Germany, Bayern Munich)
-Marcelo
(Brazil, Real Madrid)
-Javier
Mascherano (Argentina, Barcelona)
-Pepe
(Portugal, Real Madrid)
-Gerard
Piqué (Spain, Barcelona)-
-Carles
Puyol (Spain, Barcelona)
-Sergio
Ramos (Spain, Real Madrid)
-John
Terry (England, Chelsea)
-Thiago
Silva (Brazil, Paris St-Germain).
VIUNGO
15:
-Xabi
Alonso (Spain / Real Madrid),
-Sergio
Busquets (Spain / FC Barcelona),
-Cesc
Fabregas (Spain / FC Barcelona),-
-Steven
Gerrard (England / Liverpool)
-Eden
Hazard (Belgium / Chelsea)
-Andres
Iniesta (Spain / FC Barcelona)
-Frank
Lampard (England / Chelsea)
-Luka
Modric (Croatia / Real Madrid)
-Mesut
Özil (Germany / Real Madrid)
-Andrea
Pirlo (Italy / Juventus)
-Franck
Ribery (France / Bayern Munich)
-David
Silva (Spain / Manchester City)
-Bastian
Schweinsteiger (Germany / Bayern Munich)
-Yaya
Touré (Ivory Coast / Manchester City)
-Xavi
Hernandez (Spain / FC Barcelona)
MAFOWADI
15:
-Sergio
Agüero (Argentina, Manchester City)
-Mario
Balotelli (Italy, Manchester City)
-Karim
Benzema (France, Real Madrid)
-Edinson
Cavani (Uruguay, AS Napoli)
-Didier
Drogba (Ivory Coast, Shanghai Shenhua)
-Samuel
Eto’o (Cameroon, Anzhi Makhachkala)
-Radamel
Falcao (Colombia, Atletico Madrid)
-Mario
Gomez (Germany, Bayern Munich)
-Zlatan
Ibrahimovic (Sweden, Paris Saint-Germain)
-Lionel
Messi (Argentina, Barcelona)
-Neymar
(Brazil, Santos)
-Robin
van Persie (The Netherlands, Manchester United)
-Cristiano
Ronaldo (Portugal, Real Madrid)
-Wayne
Rooney (England, Manchester United)
-Luis
Suarez (Uruguay, Liverpool)
Washindi
wote wa Tuzo hizi watatangazwa huko Kongresshaus Mjini Zurich, Uswsisi hapo 7
January 2013.
No comments:
Post a Comment