Changamoto ni muhimu ,hivyo kama wamchukia MUNGU endelea kutenda dhambi'' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 07, 2012

Changamoto ni muhimu ,hivyo kama wamchukia MUNGU endelea kutenda dhambi''






Mwenyezi Mungu analotaka na kulipanga kwako BINADAMU hakuna linaloshindikana kwake japo ni mnyonge mwenye mawazo mengi LAKINI siku zote MUNGU Anatufundisha tuwe na imani iliyo DHABITI na siyo LEGELEGE ‘  


kila anguko lina nafasi ya kukupa funzo la ulipoanguka na ukiamua utajifunza kuwa makini usianguke tena, na hata ikitokea ukaangua basi isiwe kwa sababu iliyokuangusha awali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad