Tazama jinsi wafanyabiashara wa zao la Ndizi wilayani Ngara mkoani Kagera sehemu wanayouzia zao hilo ambalo ni chakula kikuu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 17, 2012

Tazama jinsi wafanyabiashara wa zao la Ndizi wilayani Ngara mkoani Kagera sehemu wanayouzia zao hilo ambalo ni chakula kikuu.



Zao la ndizi pamoja na kuwa ni zao la chakula pia huwapatia wakulima kipato kwani huuzwa katika masoko ya nje ya wilaya na mikoa jirani kama Mwanza na Shinyanga. Pia zao hili huwapatia wakulima kipato wanapotengeneza pombe ya kienyeji .Picha zote na Hellen Magambo-Ngara.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad