![]() |
|
Hili ni
tukio la sept 11 2012 ambapo huyu ndio farasi ambae inadaiwa mwanamke mmoja
huko Nigeria anaedaiwa kumzaa ghafla akiwa kanisani baada ya maombi kuwa
makali.
|
Ni
siku 13 tu zimepita toka millardayo.com iandike stori kutoka Nigeria kuhusu
mama anaedai kujifungua mtoto wa farasi.
Leo
stori nyingine iliyoandikwa na mtandao wa Naijagists inamuhusu mwanamke anaedai
kujifungua mtoto aliezaliwa kama binaadamu lakini ana miguu na tumbo kama la
mbuzi.
![]() |
| Hili tukio limetokea sehemu inaitwa Jahun, Jigawa State, Nigeria ambako huyu mtoto amezaliwa akiwa hana shingo pia. |
Mama
wa huyu mtoto anasema hii ni mara ya nne yeye kujifungua watoto wenye maumbo ya
ajabu na mtoto huyu alikua amelazwa kitandani
hospitalini.
Imeandikwa
na millardayo.com.







No comments:
Post a Comment