Hizi ndizo picha za vurugu za wananchi katika eneo la uwanja wa kilombero mjini Arusha lakini sasa mambo shwari huku Polisi wakiondoka bila kufanya kitu chochote. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 27, 2012

Hizi ndizo picha za vurugu za wananchi katika eneo la uwanja wa kilombero mjini Arusha lakini sasa mambo shwari huku Polisi wakiondoka bila kufanya kitu chochote.


Hizi ni picha 3 zikionyesha  jinsi  wananchi wa mjini Arusha wanavyo choma mataili  katika uwanja wa Kilombero ambao uliuzwa kinyemela na sasa wananchi wamerudisha na kulifanya soko.


Juu na chini na ni Askari polisi wa FFU kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi..na imeripotiwa kuwa Polisi hao wamesha ondoka eneo la tukio, na mambo ni Shwari kabisa.

Umati wa watu wakiwa wanaandamana kuvunja uzio na kuweka soko  mikononi mwao.Picha na Arusha yetu.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad