Waziri wa Afya Tanzania ataka “Masuala ya Kitaalamu yafanywe na Wataalamu’ . - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Thursday, May 03, 2018

demo-image

Waziri wa Afya Tanzania ataka “Masuala ya Kitaalamu yafanywe na Wataalamu’ .

.com/simgad/
.com/blogger_img_proxy/
Mbunge wa Ulanga Bw.Goodluck Mlinga  ameweka -post ya picha ambayo aliweka maelezo yakisema “Nikizindua chanjo ya Kansa ya mlango wa kizazi wilayani Ulanga”.
.com/blogger_img_proxy/
Baada ya Picha hiyo ya Mbunge Mlinga kusambaa, kupitia ukurasa wake wa Twitter Waziri wa Afya wa Tanzania, Mhe. Ummy Mwalim amesema kitendo hicho si sahihi na tayari ameshatoa maagizo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *