![]() |
Rais John
Magufuli amezindua daraja la mto Kilombero ambalo kwa sasa linaitwa daraja la
Magufuli.
|
"Mheshimiwa
Rais kwa mamlaka niliyopewa natangaza rasmi daraja hili litaitwa Magufuli, hii
ni kutokana na juhudi kubwa uliyoiweka katika kufanikisha ujenzi wa daraja
hili," amesema.
Daraja hilo
lenye urefu wa zaidi ya mita 300 linaunganisha wilaya za Ulanga, Malinyi na
Kilombero.
|
No comments:
Post a Comment