Taswira Atletico Madrid na Kombe la Europa Mitaa ya Hispania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, May 19, 2018

Taswira Atletico Madrid na Kombe la Europa Mitaa ya Hispania.

Mabingwa wa michuano ya UEFA Europa League 2017/2018  Timu ya Atletico Madrid imewasili Jijini Madrid nchini Hispania May 18, 2018 ikiwa na Kombe lao la Ubingwa wa michuano hiyo ya UEFA Europa League ambapo Mchezaji Antoine Griezmann aliisaidia timu yake kutwaa Ubingwa huo kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Marseille ya Ufaransa.



Atletico Madrid ambao wamewasili na kufanikiwa kupata Mapokezi makubwa kutoka kwa Mashabiki wao.

Tazama Picha zaidi Hapa Chini.






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad