![]() |
Shimo hili/Tundu
hilo lipo katikati ya Barabara itokayo Muleba mjini ikielekea Kata ya Ikondo na
Kata ya Buhangaza wilayani Muleba mkoani Kagera hali inayopelekea hali ya
hatari kwa wanaotumia vyombo vya moto kupita barabara hiyo.
Shimo hilo
limesababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Muleba mkoani Kagera.
Bila shaka Wakala
wa Barabara Mijini na Vijijini TARURA wilayani Muleba mtaiona barabara
hiyo na kuchukua hatua ya kuitengeneza kwa haraka.
Picha Na
Shafiru Yusuf –Muleba.
|
Saturday, May 19, 2018

Hili Shimo Barabara ya Ikondo TARURA Muleba hamlioni..??
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment