![]() |
Tangu July,
2017 hadi March 31, 2018 Halmashauri ilipokea Jumla ya shilingi bilioni 23,343,040,898.46,
ambapo mchanganuo wa fedha iliyopokelewa ameutaja kuwa shilingi milioni 912,158,832.05,
ilikusanywa kutoka katika vyanzo vya Halmashauri.
Jumla ya
shilingi bilioni 17,087,159,760/= ilipokeliwa kutoka Serikali kuu, kwa ajili ya
kulipa mishahara ya watumishi, ambapo kiasi cha shilingi milioni 703,720,000/=
kilipokelewa toka Seririkali kuu, kwa ajili ya matumizi mengineyo, pamoja na
shilingi bilioni 4,640,002,306.45, kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya
maendeleo.
Aidha,
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara imetumia
zaidi ya shilingi bilioni 23.2 kwajili ya kulipa mishahara ya watumishi,
kutekeleza miradi ya maendeleo katika Sekta za Afya, Elimu na Maji, pamoja na Matumizi
mengineyo.
Bw.Bahama amesema
kwamba Halmashauri yake imefikia wastani wa 35% ya utekelezaji wa miradi ya
maendeleo katika sekta mbalimbali, na kwamba tangu July, 2017 hadi march 31,
2018 Halmashauri yake, imetumia zaidi ya shilingi bilioni 4.6; fedha za Mfuko
wa Maedeleo ya Jamii (TASAF III), HSBF, Mfuko wa Jimbo, ICAP/MHD na Mfuko wa Maji,
kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.
|
Monday, May 21, 2018
![](https://1.bp.blogspot.com/-7Kd9qaiRHuA/WaEtZyc70TI/AAAAAAAADsA/7WUYBVoY-UwwjdEP3kDFPvH9htN0dDKgQCLcBGAs/s1600/demo-image.jpg)
Home
HABARI
Halmashauri ya Ngara yapokea Bilioni 23.3 na kutumia Bilioni 23.2 kwenye Miradi ya Maendeleo.
Halmashauri ya Ngara yapokea Bilioni 23.3 na kutumia Bilioni 23.2 kwenye Miradi ya Maendeleo.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment