![](https://2.bp.blogspot.com/-Ojwjn7EUqNQ/WwFTxfExq6I/AAAAAAABI9k/XJMsCBkWpQkaNa3NhRKFpMwDzl6gRjLAQCLcBGAs/s640/32970271_1865592336814001_5032579237043765248_n.jpg)
![]() |
Aidha Mkuu
huyo wa wilaya ya Muleba amewataka kujenga majengo yenye ubora na sio kuharibu
fedha za Serikali kwani endapo ujenzi huo utafanyika kimakosa Mhandisi wa
wilaya hiyo atawajibika kutokana uzembe wa kazi yake.
|
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Muleba Mkoani Kagera Mhandisi Richard Ruyango akikagua Ujenzi unaoendelea katika kituo cha Afya cha Kimeya wilayani humo. |
![]() |
Mkuu wa
wilaya ya Muleba Mkoani Kagera Mhandisi Richard Ruyango akikagua ujenzi
unaoendelea katika kituo cha Afya cha Kimeya wilayani humo.
Picha
/Habari Na Shafiru Yusuf - Muleba.
|
No comments:
Post a Comment