Bukoba ni
manispaa katika nchi ya Tanzania ambayo ni makao makuu ya Mkoa wa Kagera.
Eneo lake
liko chini ya Halmashauri ya Bukoba mjini (Bukoba Municipal Council) yenye
madaraka ya wilaya Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi
wake ilihesabiwa kuwa zaidi ya Watu 128,796.
Hizi hapa ni
baadhi ya picha zikionyesha baadhi ya maeneo ya mji wa Bukoba.
Picha na Faustin Ruta.
|
No comments:
Post a Comment