Akiongea
kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika April 17,2018 jioni kwenye kitongoji cha Kamshenyera
kilichopo kijiji cha Bihata baaada ya Wananchi kutoa kero zao mbele ya Mkuu wa
wilaya hiyo, kuwa kaimu mtendaji wa kata alikula fedha shilingi laki tatu na Mwenyekiti
wa kitongoji alikula shilingi laki moja na nusu ambazo fedha hizo zinatokana na
kodi za wananchi hao.
Mhandisi Ruyango amesema kuwa kutokana na tuhuma
hizo zinazowakabili ni wajibu wa kuwafikisha mahakamani ili liwefundisho kwa
watumishi wengine wanaohujumu fedha za wananchi na kuwataka viongozi wa vijiji
na kata kutumia fedha kadri zilivyo changwa ili kuwaletea maendeleo ya wananchi
hao.
Na Shafiru Yusuf-MULEBA.
Na Shafiru Yusuf-MULEBA.
No comments:
Post a Comment