![]() |
Alitaja
magari yaliyohusika katika ajali hiyo ni basi la Kampuni ya AK Safari
lililokuwa likitoka Lushoto kwenda Dar es Salaam likiendeshwa na Khalifa Mussa
Omary mkazi wa Chamanzi Dar es Salaam lenye namba za usajili T 497 BJB mbalo
limegongana na Hiace iliyokuwa ikitoka Mkata kwenda Segera yenye namba T591
AKE.
Aliwataja
waliokufa kuwa ni pamoja na dereva wa Hiace aliyefahamika kwa jina moja la
Shabaan, wengine majina yao hayajatambulika na maiti zao zimehifadhiwa Kwenye
Hospitali ya Magunga wilayani Korogwe.
ACP
Rwegasira alisema majeruhi ambao hawakuchukuliwa majina yao kutokana na uharaka
wa kuwasaidia kuwafikisha katika Kituo cha Afya Kabuku kwa ajili ya kuendelea
na matibabu.
|
Monday, February 12, 2018

Watano wafa katika Ajali ya Basi na Hiace- Wilayani Handeni.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment