Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama
ya Wilaya ya Ngara mkoani Kagera Joseph Luambano.
Bw. Luambano
amesema wilaya ya Ngara inazo mahakama
13 za mwanzo ambazo kwa mwaka 2017 zimesikiliza mashauri 779 kati yake 595 ni mashauri ya
jinai na 184 ni mashauri ya madai ambapo mahakama sita hazifanyi kazi kutokana
na changamoto za miundombinu kiutendaji.
“Kwakiasi
kikubwa mahakama zetu zimejitahidi kufanyakazi kwaufanisi zaidi katika wilaya
yetu ya Ngara tuna jumla ya mahakama 13 za mwanzo na kwa mwaka 2017 mahakama
hizo zimesikiliza mashauri 779ambapo kati ya hayo masahauri 595 ni mashauri ya
jinai na 184 ni mashauri ya madai “alisema Luambano
|
Friday, February 02, 2018
Mafanikio yaliyofanywa na Mahakama wilayani Ngara mkoani Kagera 2017.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment